Thursday, January 8, 2009
kampuni ya kaguo
kampuni ya KAGUO BUSINESS ENTERPRISES CO.LTD inasemekana kuwa kampuni bora kwa vifaa vya uhakika na hata hivyo kazi zake zimekuwa zikikubalika
Wednesday, January 7, 2009
Shule za kata
Kuna tetesi kuwa shule za kata huwa hazi faulishi.Hivi karibuni matokeo ya darasa la saba yalikuwa yametoka sasa kuna mwanafunzi mmoja alikuwa amechaguliwa katika shule ya kata.Mwanafunzi huyo james alikataa kwenda katika shule hiyo ya mlimwa secondary iliyopo dodoma na kuamua kukaa nyumbani
Tumpigie kura
Mtanzania anaye shindania mziki huko marekani
Subscribe to:
Posts (Atom)