Kuna tetesi kuwa shule za kata huwa hazi faulishi.Hivi karibuni matokeo ya darasa la saba yalikuwa yametoka sasa kuna mwanafunzi mmoja alikuwa amechaguliwa katika shule ya kata.Mwanafunzi huyo james alikataa kwenda katika shule hiyo ya mlimwa secondary iliyopo dodoma na kuamua kukaa nyumbani
inaonekana huyo mtoto ameshtukia ishu
ReplyDelete